STORY KAMILI KUHUSU LUIS SUAREZ KUFUNGIWA MECHI KUMI IKO HAPA.

Mshambuliaji Wa Club Ya Liverpool Luis Suarez Amepewa Adhabu AliyoAhidiwa Na FA Kuwa Itakuwa Fundisho Kwa Wachezaji Wote Duniani. FA 'Football Association' Wamemfungia Luis Kucheza Game 10 Baada ya Tukio Lake La Kumng'ata Mchezaji Wa Chelsea Branislav Ivanovic Baada ya Game Yao Waliotoka Droo Ya Bao 2-2. Luis Ameomba Radhi Kwa Jambo Alilolifanya Na Club Yake Ilimpiga Faini Jumatatu.

Fahamu Kuwa Liverpool Imestushwa sana na Adhabu Hio Na Imepewa Siku Moja Ya Kukata Rufaa Ya Adhabu Hio Aliyopewa Mchezaji Wao. Mwanzo Alitakiwa Kupewa Adhabu  Ya Kutocheza Mechi Tatu Ila Waliokaa Kwenye Kikao Hicho Waliona Ni Adhabu Ndogo Sana Na Ndio Wakaongeza Mechi Saba.

Luis Amekubali Kosa Alilofanya Ingawa Halionekani Kwenye Picha Za Mechi, Kufungiwa Huko Kunamfanya Luis Akose Mechi Nne Za Mwisho za Msimu Huu Na Game sita za Mwanzo Wa Mwaka 2014. Mwenye Kiti Mtendaji Wa Liverpool Ian Ayre Amesema Luis Na Liverpool Hawa Kutegemea Adhabi Hio
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment