
Nakaaya Sumari: Najilaumu kurudisha kadi ya CHADEMA!
- Kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM, ameomba radhi watanzania na
wanachama wa CHADEMA kwa kurudisha kadi ya CHADEMA na kuchukua ya CCM
- Adai ni kosa kubwa ambalo amelifanya katika harakati zake kwani CCM walifanya aache kabisa siasa
- Akanusha kuhamia CCM kwa ushawishi wa fedh
ila kuna mengi yalisemwa juu yangu mimi y? nililudisha kadi ya chadema ooho mimi msaliti wa chama mara ohoo mimi nimepewa pesa ila watu awajui kwanini nilirudisha kadi
mimi kama mimi nimepitia mengi nimepata vitisho vingi sana juu ya maswala ya siasa that why nimejiyoa sitaki tena nimeona sipawezi kule sio mahari bangu mimi bola niwahachie wakina halima mdee wao inaonekana wana paweza sana nashukuru mungu hameniweka hai hadi leo hii japo kuwa nilipata ajari ikanifanya niwe kimya sana kwa kipindi hicho chote.
ila kwa sasa nimerudi na makazi yangu nini ya amisha dar kwa mda hadi pale mambo yangu yatakapo kuwa sawa ya kimziki tuna elewa wazi kwamba dar es salaam ndo sehemu ya kazi hata kama watu wanasema ni pachafu ila huku huku ndo wanapo kuja kufanya biashara zao.
yaaha nina ujauzito ahahahahahahahahahahahah so soon nitakuwa mama,mpenzi wangu ni msukuma but yupo arusha na yeye,na wala sio mtu wakujulikana sizani kama watu wanamjua kwa ufupi sio maharufu,
nyimbo yangu mpya amenisahidia kuandia rich mavoko kwa sababu mimi sio mtu mzuri sana wa kuandika kiswahili kile kinacho eleweka that y akanindikia
watanzania wangojee mambo mengi sana kutoka kwangu naomba waipokee upya tena yaah niayo tu

Milan Tomic
0 comments:
Post a Comment