EXCLUSIVE:BEN POL YASEMEKANA ANATOKA KIMAPENZI NA BINTI MACHOZI

Kutoka katika kazi mpya ya Ben Pol 'Najikubali' teaser ambayo ameitoa hii leo, 'attention'  ya watu wengi imeibuka hasa baada ya msanii huyu kusikika amemtaja bi dada Lady Jay Dee ambaye kwa sasa asilimia kubwa ya watu wanawachukulia kuwa wao ni mahasimu na hawaelewani.


Ben Pol ameweka wazi kuwa, Kazi hii aliirekodi kabla ya 'tiff' lake yeye na bi dada na hivyo hata baada ya mapito ameona si issue kuedit, lakini pia msanii huyu  amefafanua status nzima ya mahusiano yake na Lady Jay Dee kwa sasa hasa ikizingatiwa kuwa wawili hawa walipishana maneno mtandaoni siku kadhaa zilizopita.... na hapa Ben Pol anaeleza.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment