| Nilipowasili niliutana na My Big Bro Chid Benz nae  akiwa amekuja kuchek show...  | 
| Mariam & Esma khan walikuwepo kumpa support madee usiku wa Jana....pia na dada yangu halima kimwana ayupo pichani nae alikuwepo...  | 
| Moja kwa Moja niliena backstage kuonana na madee  kupanga mpango wa kumsaka aliemwaga pombe yake  | 
0 comments:
Post a Comment