Kutoka lebo ya Fishcrab, Management ambayo ilikuwa inamsimamia Mr
Nice baada ya kurudi katika game hivi karibuni ambapo msanii huyu
alikuwa chini ya Lamar, limetoka neno hasa baada ya msanii kuingia rasmi
na kuanza kazi na lebo ya Grandpa ya huko kenya wakati ambapo wengi
walikuwa wanafahamu juu ya mkataba wake na Fishcrab ambao ndio ulikuwa
bado mpya mpya.
Kwa Masharti ya kutokutajwa jina lake moja ya msemaji kutoka Management
ya Fishcrab, amesema haya kuhusiana na tabia, na mwenendo wa Mr Nice
katika dakika za mwisho kabla hajabadilisha code za eneo ambalo ameamua
kwenda kuendeleza kazi zake.
Pia story kwa mtaa kwa sasa kutoka kwa Producer lamar ni kwamba...
kwa sasa anajipanga kuanzisha bendi ya muziki ambayo itakuwa ni ya
wanaume peke yake na itaanza kupiga mzigo hivi karibuni.


0 comments:
Post a Comment