They considered as one of the most exciting upcoming music groups in kenya kama sio east afrika.Ingawa vijana wenye umri wa miaka 30 and above wamekuwa wakiuita muziki wao"Bubblegum" lakini ndio wamekuwa wanamuziki wa kwanza kutoka east africa region kuwa nominated for BET Awards.
Camp mulla ambao tayari wameshashinda tuzo zaidi ya mbili walianza mziki lasmi mwaka 2010 na ni group linalo unda na vijana wa nne,MC Tyla aka peter okello,yound kass aka benoti kanema,miss karun alisi karungari mungai na the multitalented Marcus kibukosya ambaye ni Record producer,songwiter and rapper wakiwa chini ya uongozi wa CEO michel mutooni aka mykie tuchi
0 comments:
Post a Comment