She's the freshest ugandan rapper take african continent.Keko ambaye jina lake halisi ni keko jocelyn travis anatajwa na wachambuzi wengi wa mziki wa rapper mwenye ubunifu ambaye tayari amesha establish jina lake kwenye music indurstry with lyrical prowess and a unique swag to go with.soon baada ya kujijengea jina in her second year in the game Keko alichukua tuzo za the Buzz teenies awards for the best female and the best upcoming artiste nchini uganda kablaa acjachukua nyengine ya east africa upcoming artiste kwenye tuzo za africa mashariki zilizofanyika Nairobi na huko ngoma zake zikiendelea kusubua kwenye channels za africa
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment