
succi1 ilipata nafasi ya kukutana na mwana dada Malaika ambaye
amefanya poa sana kwenye ngoma ya Chege na haya ndo yalikua mazungumzo
yao.
Malaika: Jina la serikari naitwa, diana exavery clavery ila wengi wananifaham kwa jina la malaika ndo jina linalo tumika katika kazi ya sanaa mimi ni mwanamziki laki pia ni artst make up mbali na hapo ni shawai sarakas na yoga ila sikuendelea na darasa kutokana sababu zilizo nje ya uwezo wangu mimi kama malaika jina malaika nilipewa toka nikiwa mdogo nilikuwa mzuri so watu akawa wanasema mi mzuri kama malaika iliendelea ivyo mpaka sasa nimeamua kulitumi katka kaz zangu za mziki

Malaika: Mziki toka nikiwa na miaka mi4 napenda mziki nakumbuka sikumoja birthday yangu mama angu alijua napenda mzik akaniletea gitaa miaka mi3ya nyuma nimefanya mzik ila skuwa sirious na mzik sana ila mwaka 2013 nimejipanga vizuri kufany mzik utao kubalika ndani na nje ya nchi watu sasa iv wana mfaham malaika kwa ngoma yake ya nenda inayofanya vizuri na nashukuru watu wameikubali lakini pia nimefanya ngoma na chege jina la ngoma uswaz take away na nimefanya poa watu wamekubali

Malaika: Chege kunishirikisha katika ngoma yake alinikuta ofsin visual lab akaambiwa na wafanyakaz wengu kwamba naimba chege aliniskiza akakubali nakuomba tufanye ngoma kikweli nilijiskia poa nikitu ambacho sijawai waza kama ipo siku ningefanya kazi na chega ila ndi ivyo tudi thomas kapiga beat tukashuka nayo kikaja jutokea kitu kikali uswaz take away
Malaika: Matarajio yangu saaaiv ni kufanya mzik sababu ndo nimeingia ivyo sija bip so shabik wangu wakae teari kupokea ngoma za malaika ngoma zangu ninatarajia kufanya na watu tifauti ikiwemo tanzania kenya uganda na nchi zingine ambo bado nnafanya mawasiliano wa wasanii ila nimeanza tz nina ngoma nimefanya na tunda man pamoja na juma necha ivi karibun ntaiachia kwenys media
Ningoma ambayo natarajia kufanya na rich mavoko pia na nimesha ongea nae tupo katika harakat za kusababisha mbaya wakat huo huo nina fanya mawasiliano na juliana kutoka nch jiran tufanye kitu nafanya hivi kwanza kuwaburudisha mashabik wangu lakin pia kutanua soko tanzania na nje ya tanzani
Malaika: Napenda watu waju kwamba malaika yupo tofauti sana si yule wanao mfaham kwenye move au makeup nimefanya pia move kama mrembo kikojoz,binti yangu,na yatima asiye stahil ni move ambazo nimefanya vizuri pia
Malaika: Make up nimefanya nyimbo ya dully utam pia pia keusha nyimbo nimechoka nimefanya vudeo nying make up zingine sikumbuk
Moja ya kazi ya Malaika |
Malaika: Mtu ninaye mpenda kimzi ni alicia kz ndo mtu alonifanya nipende sana mzik na nifanye mzik

Malaika: Mimi pia ni miss bagamoyo no3 na ni miss talent pia 2012 miss pwani pia no 5 mwaka 2012 srip nilizo ziandika ni move inaitwa bahat yangu haijatoka na stll naandika storry nyingine
harakatizabongo
0 comments:
Post a Comment