Mzungu Kichaa Kuachia Video - African Hustler - Akimshirikisha Dela...



Mwanamuziki mwenye asili ya Sweden lakini makazi yake na shughuli zake zote anazifanyia hapa Bongo akijulikana kama Mzungu Kichaa, ambae pia alishawahi kuwa mmoja kati ya Judges wa lile shindano la kusaka vipaji la hapaTanzania, Bongo Star Search (BSS) yupo njiani kuachia video yake nyingine.
Habari kutoka kwa mwanamuziki huyo ni kuwa yuko mbioni kuachia Video ya wimbo wake wa ''African Hustler'' mbao ameshirikiana na mwanadada Dela.
Mzungu Kichaa hivi karibuni alikuwa kwenye tour yake katika mataifa mbalimbali lakini kwa sasa amesharudi Tanzania.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment