Msanii wa injili DNG wa
nchini Kenya amebainika kuwa ndie aliyechuma fedha nyingi katika kampeni za
uchaguzi wa Kenya baada ya kupata dili nono la chama cha Uhuru Kenyatta cha TNA
la kusimamia shoo pamoja na promosheni za mabango na kwenye mitandao ya jamii.Hii ni kinyume na
ilivyodhaniwa awali kuwa Jaguar ndie aliyechuma fedha nyingi za kampeni lakini
takwimu mpya za wasanii waliovuna mamilioni ya hela za Kenya kutoka kwa
wanasiasa wakati wa kampeni zao zinaonyesha DNG ndie kinara.
Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu Kenya unasemekana ni
uchaguzi ghali mno kuliko yote ambapo wasanii wengi walijivunia mamilioni ya
fedha kutokana na kutumbuiza kwenye kampeni za wagombea
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment