Chris
Brown Kutoka Marekani Akiwa Kwenye Jukwa Nchini Ghana.Inasemekana
Alisifiwa sana Baada ya Show Kali Ila Mashabiki na Waandaji
walishangazwa na Uvutaji Wa Bangi Kwenye Jukwa inasemekana alivuta kwa mda mrefu kitu ambacho mashabiki wake pamoja na watu wengine kiliwahacha njia panda mimi kama mimi sijui kama anafuta bangi huyu kijana ila nimesikia kwawatu wengi sana na nikajaribu kuhulizia kwa marafiki zangu wanao ishi marekani na wakaniambia ni kweli kwamba kijana nikawaida yake kufuta na ameanza kipingi alicho anza kutembea na snoop dogg na wiz khalifa
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment