HEMEDI : TOFAUTISHENI SWAGA NA KURINGA


Baada ya kuwepo kwa maswali mengi kuhusu tabia ya mwanamziki na muigizaji Hemedi Suleiman a.k.a PHD, kuwa anaringa sana, na ni mtu ambae anapenda sana kuwa na watoto wa kike.
hiki ndicho alichokizungumza Hemedi leo hii kupitia xxl ya Clouds fm

Hemedi Suleiman:"naomba jamani watu wajue kuwa mi siringi, ila watofautishe kati ya swag na kuringa, unajua Hemedi Suleiman na phd ni watu wawili tofauti, nikiwa Hemedi sina mambo hayo kabisa, na nikiwa kama phd hiyo is not me ni kuigiza tu..ila the only reason guys wana hate ni kwasababu wana deploma na nina PHD" amesemahemedi

Baada ya kuuliswa alipofikia kuhusu show yake aliyoiita "wife star search" maalumu kwa ajili ya kufanya shows sehem mbali mbali kutafuta mke hemedi alisema

PHD:"ile ilikua ni kwaajili ya kutafuta wife serious, ila baada ya kupokea simu kadhaa kutoka kwa mashekhe na kuniuliza "baba ako alifanya audition?" nikaona duuuh, wacha niachane nayo tu

Hemedi  kwa sasa ametoa ngoma yake inayofanya vizuri inayoitwa "going crazy" aliyoifanya chini ya producer Pancho kutoka B Hits
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment