DAIMOND ATOA TAMKO KUHUSU KUTARAJIA KUPATA MTOTO NA PENNY

Bofya read more usome ujumbe wenyewe
Mwanamuziki mashuhuri Tanzania ambae anazidi ku-make headlines kwa kazi zake nzuri, Diamond Platnumz anatarajia kupata Mtoto. 
Platnumz ambae fans wake wamepokea vizuri ngoma yake ya KESHO kwa sasa yuko kwenye mahusiano na mdada Penny, wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza. 
Masaa kadhaa yaliyopita, Diamond aliandika katika mtandao wa facebook, "I believe whats on the way coming it special form God. DIAMOND IS GONA BE A DAD" huku akiweka na picha inayomuonesha na Penny katika mapenzi zaidi.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment