Aliyekuwa
Mshambuliaji wa Arsenal Miaka Michache iliyopita Thierry Henry Amesema
Ameshaombwa na timu tofauti kuwa kocha wa timu hizo atakapo staafu Mpira
ila bado mapenzi yake yapo kwa Arsenal na akipewa kazi hio atafurahi.
Chanzo Cha habari hizi kimesema manager wa MLS amesha muomba Henry abaki
Marekani baada ya mkataba wake na New York Red Bulls Kuisha. Picha Hapo chini inaonyesha kuwa bado Henry na Wenger wanawasiliana na wana mahusiano mazuri toka Henry atoke
Gunners Na Kwenda Barcelona Mwaka 2007.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment