PICHA 2: RAPPER WIZ KHALIFA AKIWA NA MTOTO WAKE NA TATTO ALIYOCHORA USONI YA JINA LA MTOTO WAKE.


Najua Unajua Kuwa Rapper Wiz Khalifa Amepata Mtoto wa kiume na Mchumba wake Amber Rose na Wamempa Jina La Sebastian "The Bash" Taylor Thomaz. Hii Picha Ndio Ya Kwanza Kuingia Kwenye Mtandao Akiwa Na Mtoto Wake.


Tatto Ya Jina La Mtoto Wake`The Bash' Ndio Imeshorwa Hapo Kichwani Kwa Wiz
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment