Dj Wa G Unit , DJ Whoo Kid amefichua siri kuwa rapper Snoop Dogg aka Snoop Lion alitaka Kujiunga Na G Unit Miaka10 iliyopita. Kupitia Thisis50.com who kid amesema wakati wa kurekodi rmx ya P.I.M.P Miaka Ya 2000 Snoop Dogg aliongea na 50 cent kuhusu kuingia lebel yake Ya G Unit Na Walikubaliana kuingia mkataba wa miaka mitano. Ila baada ya mazungumzo na Dr Dre, Snoop alibadilisha mawazo.
Whoo kid amesema rapper
mwingine aliyetaka kujihusisha na lebel ya G Unit alikuwa Master P kupitia Lebel yake ya No Limit.
50 Cent Na Snoop Lion |
Wimbo mpya waliofanya pamoja Snoop na 50 cent ni Major Distribution na Upo Kwenye Album mpya ya 50 Cent YaStreet King Immortal.
0 comments:
Post a Comment