
Watoto wawili waliofanikiwa kuwa
gumzo september, 2011, kwa video iliotizamwa na wengi na kusambaa
zaidi kwa mda mchache, wakiimba wimbo wa Nicki Minaji "Super Base", wamerudi tena baada ya sasa kuimba wimbo wa Taylor Swift "I Knew You Were Trouble". na nnaweza kusema ni perfomance nzuri kuliko hata iliyopita.
0 comments:
Post a Comment