Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali ya nchini Nigeria, rapper Jackson
Makini maarufu kama Prezzo, anatarajia rasmi kufunga ndoa na mwanamuziki
wa Nigeria Goldie February 9.
Baada ya taarifa hiyo kuendelea kuenea katika mitandao pia inasemakana
kwamba harusi hiyo itafanyika jijini Lagos nchini Nigeria.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment