MBUNGE WA KENYA ALISHEREKEA HIVI VALENTINE



Mike Sonko
Hivi ndivyo 'The Swaggalicious Politician' kutoka Kenya, Gideon Mbuvi p.k.a Mike Sonko alivyoisherekea siku ya wapendanao Jana ambapo alii-pimp hummer yake  namna hii.


Wakati wengine wakitumia siku hii na wale wawapendao, Sonko ambaye anawania nafasi ya Useneta wa jiji la Nairobi, ameonelea kuwa kwake pia ni nafasi pekee ya kufanya kampeni na pengine kuwaonyesha wapiga kura kuwa anawapenda na anahitaji saaana kura zao.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment