CHRISTOPHER MARTIN A.K.A CHRIS MARTIN HATIMIZA MIAKA 26 NA KUJUA KISWAHILI

Chris Martin amedhihirisha kukolewa kwake na Afrika Mashariki na hii pengine ni kutokana na show zake kubwa ambazo amezipiga katika nchi za Uganda na Kenya kwa wakati tofauti na hii ni kutokana na mshkaji huyu kudhihirisha kuwa lugha 'hadhimu' ya Kiswahili haimpigi chenga.
Investigation ya SUCCI1.BLOGSPOT.COM imelithibitisha hili pia na kugundua kuwa ni kweli msanii huyu wa miondoko ya reggae ana-feel Kiswahili, na hiki ndicho tulicho kutana nacho kwenye twitter timeline yake...
                       
Kama bado huamini, #FACT iis.. Yeah, for real, Jamaa Kiswahili kinapanda kimtindo.

Mshkaji leo anatimiza miaka 26 tokea kuzaliwa kwake mwaka 1987, ni mkali mwenye hits kibao kutoka Jamaica, Chris Martin, Hits zake kama vile Cheaters Prayer na Paper Loving ndio zime-establish jina lake vizuri kabisa Afrika Mashariki, Happy Birthday to him na wewe ambaye pia leo unaadhimisha siku yako ya kuzaliwa.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment