Drake
na Chriss Brown wamefunguliana kesi kila mmoja akimshtaki mwenzake
kuhusu Rihanna. Mwezi wa juni 2012 Chriss Brown na Drake walirushiana
chupa katika club moja ya usiku huko New York, baada ya kile Chriss
Brown alichodai kwamba Drake aliongea ujinga kuhusu yeye na Rihanna pale
club. Mwanamitindo wa Kifaransa anawashtaki wote Chriss Brown, Darke na
club hiyo kwa hasara waliyomuingiza.Chriss
Brown na Drake wamefunguliana kesi kila mmoja akimuomba jaji kutafuta
suluhisho ili mwanamitindo huyo asije akataka mkwanja atakaposhinda kesi
hiyo.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment