Naweza kusema kwamba mwaka huu kwa Diamond utakuwa kama ni wa msala juzi
juz tulisikia kwamba aliletewa fujo katika show yake iliyofanyika ndani
ya Maisha Club.
Leo asubuhi baada ya magazeti ya siku kutoa vinjwa vingi vya habari
vilikuwa vikisema kwamba Mganga wa Diamond amejitokeza na anatokea
maeneo ya Magomeni "Ustadhi Yahya Michael"baada
ya kusikilia habari kama hizi tuliamua kumpigia simu Diamond na akasema
kwamba hamfahamu huyo mganga na wala hajiweki katika mambo ya
kishirikina ni uongo mtupu"alisema
Diamond.
Hili ndiyo gazeti ambalo limechukua nafasi kubwa ya story kati ya diamond na mganga wake
Picha ni Bw.Yahya Michael ambaye alijitokeza na kuweka wazi kwamba yeye ndiye Mganga wa Diamond
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment