Taarifa
zilizo kwenye headlines wakati huu ni kuhusu kuzama kwa Jahazi liitwalo
Sunrise likitokea Tanga kulekea visiwani Zanzibar likiwa na abiria 32
ambapo limezama kwenye lile eneo la Nungwi ambalo ni hatari siku zote.
Namkariri Kamanda wa Polisi
Zanzibar akisema “tayari tumeshapokea watu 21 waliookolewa wakiwa wazima
na hakuna maiti iliyopatikana mpaka sasa hivi, waliokuwemo kwenye
chombo ni watu 32 hivyo watu bado watu 11 hawajulikani walipo”Endelea kuisikiliza Clouds Fm pamoja na kupita hapa millardayo.com kwa taarifa zaidi zitakazotufikia wakati wowote
0 comments:
Post a Comment