Rapper kutokea kundi la Young Money Cash Money, Lil Wayne amesadikika
kubadili muonekano wake hasa kwenye Rasta zake. Rapper huyo ambaye
alianza kufuga Rasta zake kuanzia miaka ya 2000 akiwa na kundi la Hot
Boyz alionekana sehemu jana akiwa na Rapper Big Boi [Outkast] akionekana
kutokuwa na Rasta zake zilizomuweka Lil Wayne katika muonekano mpya
kabisa.
Lakini
ukweli kuhusu picha hizi ni kuwa Lil Wayne hajakata Rasta zake ila ni
muonekano ambao umewachanganya fans wake katika picha hizi. Lil Wayne
bado ana Rasta zake kama kawa isipokuwa katika picha hizi zilionekana
kufungwa kwa nyuma na kusababisha kutoonekana.
source :
0 comments:
Post a Comment