PICHA YA MSANII ‘ROSE NDAUKA’ NA ‘TIMBULO’ WAKIWA KITANDANI YAZUA UTATA MKUBWA MITANDAONI…
Picha hii imeleta utata sana kwenye jamii inayo wazunguka wasanii hawa wawili hambayo hadi sasa imesambaa mitandaoni na kuwa hacha watu midomo wazi huku wakijiuliza maswali kuhusu wawili hawa kama wapo pamoja au ni mbwebwe za kuwateka mashabiki.Rose ndauka ameongea na mmoja wa wanana SUCCI1BLOGSPOT na kusema kwamba "Mimi sijui kwanini watanzania wana pendakufanya mambo yawe marefu kiasi icho ukiangalia mimi ni msanii na timbulo ni msanii pia so inaweza hikatokea kazi katietu na tukafanya pamoja so hio ni moja ya kazi hambayo iko njiani hinakuja niliofanya na MDOGO wangu TIMBULO"alisema ndauka.
0 comments:
Post a Comment