Baada ya siku 29 kupita tangu alipofanyiwa vurugu za kutosha, wakati wa
show yake aliyokuwa akiifanya ndani ya Maisha Club, na kusababisha watu
kadhaa kuumia, chupwa kurushwa na mayai viza kurushwa, huku akiachwa
bila ya cheni, saa wala miwani alizokuwa amezivaa na kuambulia boooooo
kibao, siku ya jumamosi Diamond alipokuwa akielekea Kigamboni kwenye
show aliyokuwa anaifanya huko akiwa na msanii Z Anto, alifanikiwa
kumkamata mmoja wa walioanzisha vurugu hizo, akiwa ndani ya pantoni nae
akielekea kigamboni na kumkamata kumpeleka kituo cha polisi cha karibu huku wazazi wa kijana uyo wakimtaka Diamond kumsamee mwezie nakitu anacho taka msanii huyu ni fidia ya pesa ndefu sana alipwe kwa usumbufu na kupoteza viyu vyake wakati akiwa kwenye show hio
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment