‘AFANDE SELE’ KUIPELEKA VIDEONI NGOMA YAKE YA ‘SOMA ULE’, AONGELEA UJIO WA ALBUM…!!























Msanii mkwengwe kwenye gemu alimaharufu kwa jina AFANDE SELE anatalajia kutoa video ya nyimbo yake mpya ya SOM ULE kwenye kideo msanii huyu alifunguka na kusema kwamba "Nimeona ni bola nikatoa na video kabisa kwenye nyimbo yangu hii ya soma ule kwa sababu sikunyingi sana nimepotea kwenye gemu yetu ya mziki na mashabiki wangu hawaja niona long time so narudi na kutoa na video kabisa hili niendele kuepo kwenye gemu kama mfalme wa HIPHOP hapa bongo alisema afande sele mwana mziki kutoka morogoro mji kasolo bahari
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment