LIL KIM: PROMOTER ALIDANGANYA NA AKATUMIA JINA LAKE KUANDAA CONCERT

Mkali Queen Bee ambaye ameshawahi kudondoka bongo kwa ajili ya show ya Fiesta simply muite Lil Kim, Amesema Nate D, Promota alitumia jina lake kutangaza show kwa manufaa binafsi. Lil Kim alikosa ratiba yake hiyo ya kuperform ndani ya Providence Night Club Ijumaa ya tarehe 25 Januari 2013 kwa sababu mara ya kwanza ratiba ilionyesha kwamba hataperform.Siku hiyo ratiba yake ilionyesha kwamba atakuwa studio akkimalizia kurekodi ngoma za album yake.
The Queen Bee moja kwa moja kwenye tweet akatweet akimlaumu promoter huyo akijaribu kujipatia mkwanja kupitia jina la msanii huyo.
Hizi ni tweets za Lil Kim Akikanusha kuwepo kwenye show hiyo.,,

Lil' Kim ✔ @LilKim
Due to sched. conflicts I will not be attending Providence Night Club tonight, Jan 25th. I will be in the studio finishing up my new album!!
Lil' Kim ✔ @LilKim
Just to clarify I was never scheduled to be at Providence Night Club. The promoter, Nate D. falsely advertised me being there.
Lil' Kim ✔ @LilKim
I was always scheduled to be in the studio tonight at 8pm.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment