Kendrick
Lamar best rapper 2012 mkali kutoka Compton amesema yeye katika maisha
ya muziki alivutiwa sana na Tupac, Ice Cube na Kurupt. Sio siri kwamba
Kendrick Lamar anaendeleza kufanya maujanja ya miaka ya 90 ile Hip Hop
ya West Coast. Akipiga stories kwenye ‘The Rickey Smiley Morning Show”
Kendrick Lamar alitaja wasanii watatu ambao anasound kama wao.
Alipoulizwa wasanii gani ambao anawakubali sana na walimvutia yeye
kuingia kwenye muziki alisem yeye katik style yake anamchaanyiko wa
Kurupt, Tupac, na Ice Cube. Alisema kulinganishwa huko ni matokeo ya
yeye kukua na muziki wa Dr.Dre, Snoop Dogg na wengine
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment