ETI NICKI MINAJ NI BIKRA.



.
Hiphop star Nicki Minaj naona this time ameamua kutoa kauli ambayo imepata comments nyingi sana kwenye mitandao ya kijamii baada ya mtandao wa Urban daily kumnukuu.
Onika Maraj a.k.a Nicki Minaj ambae kwenye historia hatosahau jinsi baba yake alipowahi kujaribu kumuua mkewe kwa kumchomea ndani ya nyumba ameamplfy kwamba bado yeye ni bikra yani hajawahi kujihusisha kimapenzi na mwanaume toka azaliwe.
Inajulikana kwamba Boyfriend wake anaitwa Safari, maswali mengi watu wanayouliza ni kwamba siku zote amekua na huyo boyfriend wamekua wakiishi kama kaka na dada tu? inawezekana kweli mrembo kama Nicki Minaj akawa bikra?

Lauren London na Nicki Minaj.

Nicki Minaj na boyfriend wake.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment