HIZI NDIZO PICHA ZA RED CARPET YA MTV MUSIC VIDEO AWARDS WIZ KHALIFA SOON KUITWA BABA


 

Rihanna
Nick minaj naye ndani ya MTV music video awards
Neyo naye aliamua kuvaa nguo ya kipekee kabisa katika red carpet ya MTV music video awards.
 2 chainz naye akionekana jinsi alivyo shine katika tuzo za MTV music video awards.
Alicia keys naye ni moja kati ya wasanii ambao walikuwepo katika red carpet ya MTV music video awards.
Wiz khalifa akiwa na mke wake Amber Rose katika red carpet ya MTV music video awards.kama unavyoona hapo katika picha Amber Rose anaujauzito kwa hiyo Wiz khalifa soon kuitwa Baba.
 Tyga na Big sean wakiwa katika red carpet ya MTV music video awards.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment