Barua iliyoandikwa na rapa Drake katika kutoa
shukrani zake kwa wenye mchango mkubwa kwenye album yake mpya imetoka na
imegundulika kuwa jina la kiongozi wake ‘Birdmen na lebel yake ya YMCMB‘ hayapo katika barua hio na mchango wake haujatambulika.
Jambo hili sio sawa kwa msanii yeyote ambaye yupo
chini ya lebel kuto toa shukrani kwa lebel hio ukizingatia kazi zake
zote husimamiwa na kupitisha na lebel hio.
Sababu nyingine imesemakana kuwa Drake ametoa album ya If Your Reading This Its Too Late “ ili tu kukamilisha jukumu lake chini ya
Lebel hio ila anampango wa kutoa album nyingine chini ya lebel au
usimamizi binafsi ” Je Drake anataka kutoka Young Money kama Wayne na
Tyga, tutajua soon
0 comments:
Post a Comment