Baada ya kushtukiza mashabiki usiku wa kuamkia ijumaa ya tarehe 14
kwa kutoa album ya ‘If You’re Reading This Its Too Late’ ikiwa na nyimbo
17, imeripotiwa kuwa kuna wimbo wenye mistari inayomlenga rapa Tyga.
Wimbo wenye jina 6 PM In New York una mashairi yanayomlenga msanii
mwenzake Tyga, mashairi hayo yana mdiss Tyga na mahusiano yake na binti
mdogo maarufu kama Kylie Jenner mdogo wa Kim Kardashian.
Mashairi ya Drake yanasema “
I heard the
lil’ lil’ homie talkin’ reckless in Vibe, “That’s quite the platform you
chose, you should’ve kept it inside/ Oh, you tried/ It’s so childish
callin’ my name on the world stage /You need to act your age and not
your girl’s age ”
Tyga naye alijibu kupitia twitter
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment