Wakiwa
nchini Brazil tayari kwa kushiriki michuano ya kombe la dunia inayoanza
alhamisi hii – Mario Balotelli na mpenzi wake mwanamitindo Fanny
Nageusha waliamua kufungua ukurasa mpya wa mapenzi yao.
Usiku wa kuamkia jana Mario Balotelli alipiga hatua moja mbele kwenda
kuhalalisha mahusiano yake na mrembo Fanny baada ya kumchumbia rasmi.
Balotelli alitumia akaunti yake ya mtandao wa Twitter kuwaambia mashabiki na rafiki zake kwamba Fanny amekubali kuolewa nae.
Baada ya muda kidogo mrembo Fanny nae akatumia akaunti yake ya Instagram kuonyesha pete aliyovalishwa na Balotelli.
Home
Walichoamua kufanya Balotelli na mchumba wake kabla ya kombe la dunia
Walichoamua kufanya Balotelli na mchumba wake kabla ya kombe la dunia
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment