Video ya wimbo mpya wa Jux, ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa ham sana,
hasa watu wakitaka kufahamu kama video queen atakuwa ni Jack
itazinduliwa siku ya jumapili ndani ya Billcanas
Jux alithibitisha kumuimbia girlfriend wake Jack ambae alipatwa na matatizo akiwa nchini China.
Uzinduzi huo utasindikizwa na performance kutoka kwa
Jux mwenyewe, Mr Blue, Young Dee, Mirror, Cyrill na Vanessa Mdee, kwa
kiingilio cha shilingi 8000 tu, huku B12 akiwa ndio MC wa show hiyo.
0 comments:
Post a Comment