Licha
ya video yake ya Loyal kuendelea kumuweka pazuri kwenye soko lake la
muziki, bado kwenye maisha binafsi ya Chris Brown mambo yake hayapo
vizuri.
Siku ya May 9 Chris Brown alihukumiwa siku 131 kwenda jela kwa baada
ya kwenda tofauti na masharti aliyopewa kutokana na kesi ya Rihanna.
Chris Brown hivi sasa ameachiwa huru baada ya kukaa jela siku 108 na
miezi michache ijayo kesi yake nyingine ambayo ilitokea Washington D.C
itaanza kusikilizwa.
Home
Habari mpya kuhusu Chris Brown na kesi zake mahakamani.
Habari mpya kuhusu Chris Brown na kesi zake mahakamani.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment