Nikikuuliza
kama kocha gani uliyewahi kuhisi analipwa pesa nyingi atakua nani
pengine ungetaja wengine unaowafahamu lakini sasa unaambiwa kocha wa
zamani wa timu ya taifa ya Uingereza Fabio Capello ndiye anaongoza kwa kulipwa vizuri.
Hii ni rekodi aliyoiweka na kuwa
miongoni mwa makocha wote wa timu za taifa zinazoshiriki Kombe la Dunia
mwaka huu nchini Brazil.Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza, Roy Hodgson analipwa pauni Milioni 3.5 kwa mwaka.
Cheki mtiririko wa malipo ya makocha hawa ulivyo.
Home
FABIO CAPELLO ;THE BIGGEST EARNING NATIONAL BOSSE
FABIO CAPELLO ;THE BIGGEST EARNING NATIONAL BOSSE
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment