Picha:Rais Kikwete ahudhuria kwenye semina ya kamata fursa twenzetu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Jakaya Mrisho Kikwete leo Novemba 26 alikuwa ni mgeni rasmi kwenye semina ya kamata fursa twenzetu iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Mh.Rais ameupongeza uongozi wa kampuni ya Clouds Media Group kwa ubunifu wao wa kampeni hii ya fursa inayowakutanisha na kuwamasisha vijana mbalimbali nchini kujituma na kufanya kazi ili kutokomeza suala zima la ukosefu wa ajira.

Semina hiyo ilihudhuriwa pia na wasanii mbalimbali angalia picha hapa.








SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment