Ikiwa ni wiki kadhaa tangu Jacklyn Wolper kudhalilishwa kwenye ukurasa
wa facebook,sasa leo yameibuka mengine kwa Jokate Mwegelo.
Jokate Mwegelo akionyesha kusikitishwa na kuwapa pole mashabiki wake kwa
kile kinachoendelea instagram,baada ya watu kuibuka na kutumia jina
lake vibaya katika mtandao huo,kisha kuwatapeli fedha mashabiki wake
chini ya shilingi laki tatu.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment