FLAVIANA MATAT AWEKWA NDANI YA LIST YA FORBES AFRICA MAGAZINE


Ikiwa imetangazwa siku chache zilizopita, Forbes Africa imetoa list ya ma-model wakali na wanaofanya vizuri, na model matata kutoka Tanzania "Flaviana Matata" ndani.
Ikiongozwa list na model mdogo mwenye miaka 21 kutoka Angola "Maria Borges" 2013 imemfanya kuwa hot model na mkali kwenye catwalk.
Forbes Africa Magazine ambalo limetoka August 1lina list ya ma-model wengine ambao wako karibu kukamata nafasi ya kwanza ya hotest model ambao ni Ajak Deng (Sudan), Grce Bol (Sudan), Candice Swanepoel (South Africa), Liya Kebede (Ethiopia), Katryn Kruger (South Africa) na mshiriki wa Miss Universe kutoka Tanzania (Flaviana Matata
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment