STAMINA ATOA KITU KIPYA NDANI YUPO DARASA


'Shorwebwenzi' a.k.a Stamina kama anavyojulikana na wengi, wiki ijayo anatarajia kuwazawadia mashabiki wa muziki ngoma mpya ambayo tittle yake itakuwa ni 'Mwambie na Mwenzio'.
Stamina
Kazi hii imefanyika huko Mwanza na ndani yake mkali huyu kutoka Moro anapewa ushirikiano wa kutosha tu na Darasa ambaye wazo zima la Chorus ya hii kazi, limetoka kwake kwa mujibu wa Stamina mwenyewe..
                       
Jibu kutoka kwa Stamina kuhusiana na kwanini Jina kazi hii  ni Mwambie na mwenzio,  ni kuwa ngoma hii itakuwa imebeba mistari mikali ambayo kila mmoja akiisikia atatamani kumwambia na mwenzie ujumbe ambao atakuwa ameupata".
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment