Mwenyekiti wa baraza la kitaifa la congress nchini libya amejiuzulu kufatia kupitishwa kwa sheria mpya inayoharamisha yoyote aliyefanya kazi katika serikali ya hayati Muamar Gaddafi kushikilia wadhifa wowote katika serikali ya sasa
Muhammad al-magarief amesema kwamba anajihuzulu kwa roho safi tu na akiwa anajivunia kufanya hivyo alisema maneno hayo baada ya kukamilisha hutuba yake kwa baraza la congress
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment