
bermuda triangle au kwa jina lengine pembe tatu ya bermuda ni eneo maharufu sana linalo patikana bahari ya antlantiki linalounganishwa na nchi tatu za bermuda,puerto rico na marekani.
Eneo ili ni maharufu sana duniani kwa sababu ya majanga yanayotokea sehemu hiyo inasemekana watu wakipita maeneo hayo basi ndo awatapatikana maisha yao yote.
meri,ndege zimekuwa miongoni mwa vitu vinavyopotea kwa wingi sana katika eneo hilo hadi siki za leo bado linaleta utata sana

hapa ni picha zikionyesha meli,boti pamoja na ndege zikiwa zimezama


nainasemekana meli zaidi ya mia moja(100) zimezama na watu zaidi ya 1000
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment