Picha juu na chini ni watu mbalimbali waliohudhuria mazishi ya mama yake mazazi Barnaba Elius
Msanii wa mziki wa kizazi kipya Barnaba Elias, siku ya Jumamosi alifiwa na Mama yake mzazi ambae alikuwa akijulikana kwa jina la Bi. Mariam Arubeth. Shughuli za mazishi zilifanyika siku ya Jumapili nyumbani kwa marehemu kigogo/mburahati ambapo msiba huo ulihudhuriwa na watu wengi wakiwemo wasanii mbalimbali
Msanii Barnaba akipita mbele ya jeneza lenye mwili wa mama yake huku akisaidiwa na wasanii wenzake
Masanii Barnada akimuangalia mama yake
Msanii Barnaba akilia kwa uchungu
Msanii Barnaba akiishiwa nguvu.
msafara ukielekea makaburini.
Wasanii mbambali walikuwepo kuumpa tafu mwenzao.
Mazishi yakiendelea.
0 comments:
Post a Comment