Kundi lilichokua nafasi ya ZE COMEDI waliojiita ZE KOMEDI na kurusha vipindi vyao kupitia channel maarufu ya vijana EATV nao
wamekubwa na pepo la umaarufu wa ghafla linaloendelea kuwatafuna wasanii wengi nchini hasa wanaochipukia na kupata mafanikio makubwa ambayo hawakutegemea ndani ya mda mfupi.Jipange imefanikiwa kupata picha walizopiga wakiwa ufukweni huku wakitomasana hadharani na mabinti ambao haikufahamika mara moja ni wakazi wa wapi.Tunashauri kue na mpango maalumu wa kuwafunda vijana hasa wanaoelekea kua maarufu namna ya kuishi na jamii inayowazunguka na si kusema msanii ni kioo cha jamii huku wakiwa hawajitambui ni kioo vipi.