Bomu hilo limelipuka wakati waumini wa kanisa hilo wakiendelea na shughuli za uzinduzi wa kanisa lao,mpaka sasa bado haijafahamika idadi kamili ya majeruhiwa lakini taarifa zinasema kwamba baadhi ya watu wamejeruhiwa na kuwahishwa hospitali kwa ajili ya matibabu.
UZINDUZI WA KANISA LA KATOLIKI PAROKIA MPYA YA OLASITI YAINGIWA NA DOSARI
Bomu hilo limelipuka wakati waumini wa kanisa hilo wakiendelea na shughuli za uzinduzi wa kanisa lao,mpaka sasa bado haijafahamika idadi kamili ya majeruhiwa lakini taarifa zinasema kwamba baadhi ya watu wamejeruhiwa na kuwahishwa hospitali kwa ajili ya matibabu.
0 comments:
Post a Comment