PROFESA JAY WA MITULINGA AJIUNGA NA CHADEMA TAYARI KWA KUENDELEZA MAPAMBANO YA KISIASA KAMA MKONGWE SUGU



Kulikuwa na maswali mengi aliyokuwa akiulizwa rapper Pro. Jay kuwa yupo chama gani cha siasa cha hapa nchini? sasa leo majibu ya maswali hayo hatimae yamepatikana ni kuwa yupo CHADEMA. Amekabithiwa Kadi ya chama na Sugu Mbele ya John Myinka na Viongozi wengine.
 
Hii ni picha inayomuonyesha Prof Jay akiwa na Sugu huku akiwa ameshika mkononi kadi yake ya chama jambo ambalo linaonesha kuwa mkongwe huyo wa Hip Hop sasa anataka kujaribu upande wa pili wa shilingi yaani kuingia kwenye mtanange wa siasa.

Wengi tulikuwa tukijiuliza kama mkongwe huyo anaweza kugombea ubunge mwaka 2015 na hii inaonyesha njia imefunguka na maswali yetu yanakaribia kupata jibu kwa kuanzia kwanza kajiunga na chama then kifuatacho ni...... ubunge 2015 wangapi tunamuunga mkono!!!! tupia neno..


Tupe maoni yako juu ya mkongwe huyu mzee wa mitulinga kutimkia CHADEMA
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment