SALAMA J LEO AMEONGELEA KUHUSU ISHU YAKE NA T.I.D

Mtangazaji wa mikasi SALAMA J leo ameongea na sudi yani katika u heard ilionifuraisha ni hii ya salama na t.i.d.
salama j amesema yeye anatatizo na T.I.D na kama ujui salama na T.I.D ni mtu na ndugu yake so salama asema anatatizo na T.I.D japo kuwa mnyama yeye akusema kama yeye na salama ni mtu a nduguye.Ila kwa upande wa salama asema hato acha kumpa interveiw T.I.D ataikiwa vipi na kuhusu kukimbia asema yeye akukimbia sehemu yoyote anashangazwa na maneno ya mnyama t.i.d.

T.I.D alisema yeye alitaka kumkumbusha kwamba salama yeye ni mwanamke na SALAMA asema nayeye alitaka kumkumbusha T.I.D kwamba yeye salama ni dada yake.
hayo nimaneno ya salama akiwa anaongea kwa pozi leo hii
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment