CHEZEA MMALEKANI WEWE

Habari tulizozipta sasa hizi sinasema yule mtuhumiwa #2 Wanafikiri ameonekana alikokua amejificha na Polisi walifyatua risasi kadhaa huku wakijaribu kumpata akiwa hai, mapema mtuhumiwa wa kwanza ambaye ni kaka yake aliuwawa mapema leo baada ya kujaribu kutoroka na gari waliyoipora kutoka kwa mkazi mmoja wa mji huo wa Watertown uliopo maili chache kutoka Boston  kwa sasa Polisi wamezunguka sehemu alikojificha Mtuhumiwa huyo wa Milipuko ya Boston Marathon.Mjini. tutazidi kuwaletea habari zaidi
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment