
Ay asema maisha ni kujituma kufanya kitu kwa moyo wako wote ndo silaha yako ya maisha inayokusaidia kupambana na vikwazo vyote vitakavyo kuja mbele yako ukiniangalia kama mimi nimetoka mbali sana nime hangaika huku na huku hadi nimefika hapa sio jambo la kitoto nimefanya kazi kubwa sana na hadi za ziada kufika hapa mi namshukuru mungu kwa yote na kunipa moyo wa uvumilifu wa yote yaliokuja mbele yangu
napenda kuwahambia wanamziki wanaochipukia kwamba kufanikiwa au mafanikio ayaji kila isi kama mnavyofikilia inabidi kufanya kazi na mziki usiufanye kwamba ndo kipaji chako,mziki unatakiwa kuufanya ndo kazi yako nahamini utafika tu nilipo mimi na ata kunizidi mimi.Alisema ambwene yesaya ay
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment